Jacqueline Wolper Anafaa Kuwa Mke Akipata Mtu Sahihi

Wolper.
Dk Fadhili ambaye aliwahi kutajwa kubanjuka na mrembo huyo kisha kumwagana, alisema kwa sababu tu yeye sasa ameokoka kwa sasa na amepata mtu mwingine lakini vinginevyo, angeweza kumuoa Wolper.
Dk Fadhili Emily .
“Nimeona kwenye mitandao, wanamuandama
kuwa hajatulia na kwamba ana msururu mkubwa wa wanaume ambao ametembea
nao, kimsingi huyu mrembo hajapata tu mtu sahihi lakini anafaa kuwa mke
wa kulea familia kabisa,” alisema Dk Fadhili ambaye kliniki yake iliyopo
maeneo ya Mbezi- Afrikana, Dar ilikumbwa na panga la wizara ya afya
lililofungia kliniki hizo kwa kutokidhi masharti ya serikali.CHANZO: GPL


Post a Comment