NANDY AKESHA AKISALI ASIBUME
Nandy.
MSANII wa muziki Bongo, Faustina Charles ‘Nandy’ amesema kwa sasa
anatumia muda mwingi kukesha kwenye maombi kwa lengo la kuendelea
kung’arisha nyota yake, ikiwa ni pamoja na kutobuma kwa kazi zake.Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Nandy ambaye kwa sasa anaserebuka sokoni kwa wimbo wa Wasikudanganye, alidai wasanii wengi wamekuwa wakirudi nyuma kimuziki na wengine kupotea
kabisa kutokana na kutodumu kwa kazi zao muda mrefu, hivyo kushindwa kufanya vizuri na mwisho wa siku kusahaulika kwa mashabiki.

Post a Comment