Msimamizi Wa Tume Ya Uchaguzi (IEBC) Kenya, Mwili Wake Watupwa Sokoni
Caroline Odinga enzi za uhai wake.
Mwili wa mwalimu huyo wa Ugenya High School ulikutwa katika soko la Sega jana Jumamosi asubuhi na watu waliokuwa wakielekea katika mazishi ya Mkurugenzi wa TEHAMA wa IEBC, Chris Msando, Kijiji cha Lifunga.
Soko ambapo mwili wake umekutwa.
Familia yake inaeleza kuwa mara ya mwisho alitoka nyumbani siku ya Ijumaa na kwenda kudai malipo yake kwa kazi aliyofanya ya usimamizi wa Uchaguzi Mkuu uliomalizika.


Post a Comment