ad

ad

Mwanachuo Aliyeshtakiwa kwa Makosa ya Mtandao Aachiwa Wakili Wake Lissu Anena (VIDEO)



KISUTU: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeifuta kesi na kumwachilia huru Jovenary Shirima ambaye ni mwanafunzi wa Chuo mjini Arusha aliyekamatwa tangu mwezi Januari mwaka huu akituhumiwa kwa makosa ya mtandao, wakili wake Tundu Lissu amenena.



Akizungumza mara baada baada ya kuachiliwa huru, wakili wa Shirima ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amesema tangu hiyo ufunguliwe upande wa walalamikaji hawakuweza kuendelea kuhudhuria mahakamani jambo lililopelekea kufutwa kwa kesi hiyo.
"Walalamikaji wameikacha kesi kama walivyokacha walalamikaji wa kesi ya Mbunge wa Arsuha Mjini, Godbless Lema".
 
PICHA ZOTE NA MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS

===

MTAZAME VIDEO HAPA LISSU AKIFUNGUKA

<script>
TAZAMA MATUKIO YALIYOJILI MAHAKAMANI KISUTU LEO

No comments

Powered by Blogger.