Harry Kane amvisha pete ya uchumba mzazi mwenzie
Mshambuliaji wa Klabu ya Tottenham Hotspur, Harry Kane amemvisha pete
ya uchumba mrembo wake Kate Goodland tayari kwa maandalizi ya kufunga
ndoa siku za usoni .
Kane kupitia ukurasa wake wa Twitter amethibitisha hilo kwa kuweka picha ya kimwana huyo na kuandika “Kweli amekubali”.
Kane kupitia ukurasa wake wa Twitter amethibitisha hilo kwa kuweka picha ya kimwana huyo na kuandika “Kweli amekubali”.
She said YES! 😘❤️💍🏖 pic.twitter.com/6IfmK7DFK4
— Harry Kane (@HKane) July 1, 2017
Post a Comment