Kama hukupata mualiko wa Party maalum ya Shetta
Msanii wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anatamba na video ya hit single ya wimbo wake mpya ‘Namjua’
usiku wa June 2 2016 alifanya party na kutoa mualiko kwa watu
mbalimbali ambao wamekuwa wakimsapoti katika muziki wake kwa kiasi
kikubwa, huenda ulitamani kuhudhuria Party ya Shetta ila hukupata mualiko, badi video ninayo hapa.
Post a Comment