TOTO, LYON NA JKT RUVU NDIYO WALIOREJEA LIGI DARAJA LA KWANZA
AFRICAN LYON |
Rasmi
timu tatu zilizoteremka daraja zimejulikana nazo ni JKT Ruvu kutoka
Pwani, Toto African ya Mwanza na African Lyon ya Dar es Salaam.
Timu hizo zimeteremka baada ya mechi za mwisho za ligi huku mbili kila moja ikipoteza na moja ikipata sare ya bila mabao.
Toto
African wamepoteza kwa kuchapwa mabao 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar wakiwa
ugenini mjini Manungu, Morogoro na Ndanda wakawashindilia zaidi JKT kwa
mabao 2-0 ambao tayari walikuwa wameishateremka.
Kwa Lyon, wao walionekana kama walikuwa wanaweza kubaki lakini sare yao ya 0-0 ikishindwa kuwaokoa katika mehi ya mwisho.
Post a Comment