Breaking News: IGP Simon Sirro Ateuliwa na Rais Kuwa Mkuu wa Polisi Nchini
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Mei, 2017 amemteua Kamishna wa Polisi Simon Sirro kuwa Mkuu wa polisi (IGP).
Kabla ya Uteuzi huo IGP Simon Sirro alikuwa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam
IGP simon Sirro amechukua nafasi ya Ernest Mangu ambaye atapangiwa kazi nyingine.
Aliyekuwa Mkuu wa Polisi (IGP), Ernest Mangu.
Post a Comment