Wolper, Snura Wachuana Kutupia Picha Instagram
Msanii wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper akiwa katika mapozi Matata yaliyowavutia wengi katika mtandao wa Instagram.
MASTAA wa Bongo, Jacqueline
Wolper na Snura Mushi wameendela kuchuana kutupia picha kwenye mitandao
ya kijamii ambapo hivi sasa mastaa wa kike wa ndani na nje ya nchi
wamekuwa wakitupia picha za mitego katika kurasa zao za kijamii.Ukirejea picha za mwanamitindo mwenye umaarufu mkubwa ulimwenguni Kim Kardashian West, unaweza kuona utamaduni huo wa kutupia picha za mitego mtandaoni unavyoshika kasi katika kipindi hiki cha kasi ya mawasiliano ya data.Wolper akiwa katika pozi.
Aidha mashabiki wameonyesha kuvutiwa mno na picha za aina hiyo na kuwashawishi mastaa hao na wengine kuendelea kutupia katika kurasa zao za jamii.Msanii Wa Bongo Movie Snura Mushi (Snura) akifanya yake.Mapozi ya Snura yakiendelea.
Snura akimwagilia maua maji.









Post a Comment