Maneno 28 Mbunge Halima Mdee ameandika kuhusu Askofu Gwajima
Mdee ameandika >>>’Namuheshimu
sana Mch. Gwajima,sitajibizana nae kwenye mitandao. Niweke rekodi sawa
sijamtukana na wala sitarajii kumkosea heshima Spika.<<<<
>>>Hayo
ya J2 namwachia yeye! Yangu na yaliyojiri Bungeni.. Najua jinsi ya
kuyahandle. Yawezekana yalishamalizwa kabla ya Ibada yake LEO.Namuheshimu sana Mch.Gwajima,sitajibizana nae kwenye mitandao. Niweke rekodi sawa sijamtukana na wala sitarajii kumkosea heshima Spika. https://t.co/yRxCGcvyPE— Halima James Mdee (@halimamdee) April 9, 2017
Hayo ya J2 namwachia yeye! Yangu na yaliyojiri Bungeni.. Najua jinsi ya kuyahandle. Yawezekana yalishamalizwa kabla ya Ibada yake LEO. https://t.co/yRxCGcvyPE— Halima James Mdee (@halimamdee) April 9, 2017

Post a Comment