LEICESTER CITY YAPATA SARE YA 1-1 DHIDI YA ATLETICO, LAKINI YAAGA LIGI YA MABINGWA ULAYA
Leicester City imeaga michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Atletico Madrid.
Leicester ndiyo waliokuwa nyumbani na walilazimika kusawazisha kwa bao la Jammy Vardy ili kupata sare hiyo.
Kwa sare ya leo, maana yake Atletico
Madrid imesonga mbele kwa jumla ya mabao 2-1 baada ya ushindi wa 1-0
ikiwa nyumbani Vicente Cardelon jijini Madrid.
KIKOSI CHA Leicester City:
Schmeichel, Simpson, Morgan (Amartey),
Benalouane (Chilwell), Fuchs, Mahrez, Ndidi, Drinkwater, Albrighton,
Okazaki (Ulloa), Vardy
KIKOSI CHA Atletico Madrid:
Oblak, Juanfran (Hernandez), Savic, Godin, Filipe Luis (Correa), Saul, Gabi, Gimenez, Koke, Carrasco (Torres), Griezmann
Post a Comment