MAZOEZI YA MWISHO YA BARCELONA KABLA YA MTITI WA KESHO VS JUVENTUS
Baada ya kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa Juventus ya Italia, Barcelona
wamefanya mazoezi yao ya mwisho kabla ya mechi yao ya pili, kesho.
Mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ndiyo itakayoamua nani anakwenda nusu fainali kati ya timu hizo mbili.
Ikiwa nyumbani, kawaida Barcelona inafanya mazoezi yake kwenye uwanja
wake wa nyumbani katika iambi ya La Masia jijini Barcelona.










Post a Comment