Kiungo wa Azam FC, Frank Domayo, amefiwa na baba yake mzazi, Raymond Domayo, aliyefariki ghafla usiku wa kuamkia leo Aprili 16, 2017.
Post a Comment