“Yala! Yala! Jamani Mwenzenu nimeyatimba😟….. lakini mi nafkiri watu
wanatakiwa waiskilize hii nyimbo kwa umakini sana tena sana na wataelewa
nini ilikuwa maana yangu haswa… Hususani kama kipengele nilichomtaja
mzee wangu @Bishopgwajima nilisema: “mara nasikia vya aibu Konda na
Gwajima eti ugomvi umekolea….ila kuchunguza kwa karibu ni kuna binti
mmoja tu ndio kwa mitandao anachochea…” Point yangu ni kwamba licha
ya kweli kuna yaliyojiri nyuma, lakini kwa busara zao ninazoamini
wamejaaliwa na Mwenyez Mungu muda si mref wangekaa chini na
kumaliza…nawote kufurahi kwa pamoja, lakini kwakuwa kuna dada mwingine
alikua anachochea hawa ndugu zetu wazidi kufarakana…ikapelekea hadi
kufikia hapa…asa hapo kosa langu mie liko wapi?😭 Chonde chonde mzee
wangu @Bishopgwajima usinigeuze maji kesho 👐, mana nakujua ukimuamulia
mtu…. naweza jumapili ya kesho nikaiona chungu Mwaka mzima😁😆😅,”
aliandika Diamond Instagram.
Post a Comment