Nape Aondolewa Kwenye Uwaziri wa Habari, Nafasi Yake Yachukuliwa na Dkt. Mwakyembe
IKULU: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe
Magufuli amefanya mabadiliko madogo kwenye Baraza lake la Mawaziri leo
Machi 23, 2017. Katika mabadilikom hayo, Rais Magufuli amemuondoa kwenye
Uwaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye
ambaye nafasi yake imejazwa na Dkt. Harrison Mwakyembe.
Soma Taarifa ya Ikulu
Soma Taarifa ya Ikulu
Post a Comment