Muhammad Ali enzi za uhai wake. Bondia bingwa wa zamani Muhammad Ali amefariki dunia jana Ijumaa akiwa kwenye Hospitali ya Phoniex alipokuwa akitibiwa tatizo la mfumo wa upumuaji. Muhammad Ali amefariki akiwa na umri wa miaka 74.
Post a Comment