DOGO ALIYECHORA JINA LA AJIBU MGONGONI AKABIDHIWA JEZI ORIJINO
Yule mtoto aitwaye Aziz aliyevaa fulana iliyochorwa jina la Ajibu namba 23, ametafutwa na kupatikana.
Dogo huyo alivaa jezi hiyo kwenye mechi kati ya Simba dhidi Polisi Dodoma kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Baada
ya hapo, Simba waliamua kumtafuta na kumkabidhi jezi orijino ya Ajibu
ambaye ni moja ya nyota makinda waliokulia kisoka katika klabu ya Simba.
Post a Comment