CHEKI MANCHESTER CITY WALIVYOIFUATA MONACO NA MBWEMBWE YA SUTI MPYA
Man City wamesafiri kuifuata Monaco katika mechi yao ya pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Wanacheza ugenini nchini Ufaransa,
lakini City wameonekana kujiamini huku wakiwa na mwonekano mpya wa suti
zenye sulana kwa ndani.
Monaco, nao wako vizuri ingawa
watawakosa wachezaji kadhaa ambao ni majeruhi. Pia bado hawana uhakika
kama nahodha wao, Radamel Falcao atakuwa fiti.
Post a Comment