Sasha: Kalio la Sanch, Wema halinipi presha!
Jane Rimoy ‘Sanch’
MREMBO ambaye hivi karibuni amevuma kwenye
mitandao mbalimbali ya kijamii kutokana na kupiga picha za utupu, Sasha
Kassimu ‘Sasha’ amefunguka kuwa warembo ambapo ndiyo wanasifika kuwa wana figa Bongo, Jane Rimoy ‘Sanch’ na Wema Sepetu hawamsumbui kwa kuwa hawamfikii hata robo.Wema Sepetu
Akizungumza na Risasi Jumamosi, Sasha alisema kuwa
anachoamini yeye kuwa yuko vizuri kwenye kila idara kwa hiyo hawahofii
warembo hao kwa lolote kwa maana anaamini kuwa hata kama watasimama
pamoja yeye atakuwa mshindi.
Sasha
“Unavyoniona hakuna wa kuniogopesha au kuninyima usingizi kati ya
Wema au Sanch kwa sababu naamini kabisa mimi nimewazidi kwa kila kitu na
kama wanabisha tuandae shindano waone,” alisema Sasha.
Post a Comment