MSIMAMO WA WENGER BAADA YA KUULIZWA ATAPUMZIKA LINI SIMEONE ACHUKUE NAFASI YAKE
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amewashukuru waandishi wa habari kwa kumtaka apumzike lakini amewaambia wazi, “wasahau”.
Wenger
amesema hana mpango wa kuachia ngazi licha ya kuwepo kwa taarifa
Arsenal ingependa kumchukua Diego Simeone kutoka Atletico Madrid ya
Hispania kuchukua nafasi yake.
Mara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Hull City yeye akiwa jukwaani, Wenger amesema, hana mpango wa kupumzika.
“Nashukuru sana kwa nia yenu njema ya kunitaka kupumzika. Lakini sihitaji kufanya hivyo kwa sasa,” alisema Wenger.
Post a Comment