Picha: Askofu Gwajima Naye Kaamua Kwenda Polisi Leo Badala ya Kesho Kuitikia Wito wa Makonda
Askofu
Josephat Gwajima mchana huu amefika katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar
es Salaam kuhojiwa baada ya kutajwa na RC Paul Makonda katika orodha ya
wahusika wa dawa za kulevya.
Askofu
wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Mchungaji Gwajima akiwasili kituo cha
polisi kati majira ya saa 7:30 mchana akiwa ameongoza na wafuasi
wake,kutii agizo la Mkuu wa Mkoa Paul Makonda,ambaye watuhumiwa wote 65
aliowataja jana katika sakata la dawa za kulevya,aliwataka kufika kesho
Ijumaa saa 5 asabuhi kituo cha Polisi kati kwa mahojiano zaidi.
Askofu
wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Mchungaji Gwajima akionekana kufurahia
jambo wakati akiwasili kituo cha polisi kati majira ya saa 7:30 mchana
akiwa ameongoza na wafuasi wake,kutii agizo la Mkuu wa Mkoa Paul
Makonda,ambaye watuhumiwa wote 65 aliowataja jana katika sakata la dawa
za kulevya,aliwataka kufika kesho Ijumaa saa 5 asabuhi kituo cha Polisi
kati kwa mahojiano zaidi.
Wafuasi wa Askofu Gwajima wakiwa wanawasili kituo cha Polisi kati
Polisi wakiwatawanya wafuasi hao wa Askofu Gwajima na kuwataka kukaa umbali wa mita 100 kutoka kituo cha Polisi
Polisi wakiwatawanya wafuasi hao wa Askofu Gwajima na kuwataka kukaa umbali wa mita 100 kutoka kituo cha Polisi
Post a Comment