DAR ES SALAAM: Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ ametumia ibada aliyoifanya kanisani kwake, Ubungo-Kibangu jijini Dar kamsifia Rais Magufuli na kusema aendelee hivyo hivyo kuwatetea watanzania masikini.
Post a Comment