Lowassa Akamatwa na Jeshi la Polisi Geita
Taarifa
zinaarifu kuwa Lowassa amefika Geita leo akitokea Kagera ambapo
alipofika stendi ya zamani Geita wananchi walimsimamisha. Aliposhuka
kwenye gari kuwasalimu wanageita, polisi wakamkamata na kumpeleka kituo
cha Polisi Geita.
Lowassa alikuwa anaenda kwenye kampeni za uchaguzi Kata ya Nkome
Lowassa alikuwa anaenda kwenye kampeni za uchaguzi Kata ya Nkome
Post a Comment