Kajala Akanusha Video ya Ngono Inayosambazwa Mitandaoni Siyo ya Binti Yake Paula!
Katika mitandao mbalimbali ya
kijamii ipo video iliyosambaa ambayo inamuhusu binti mdogo wa chini ya
miaka 18 akifanya mapenzi na mtu mzima ndani ya Gari.
Awali ilisemekana kuwa katika video ile binti aliyeonekana ni Paula
Paul ambaye ni mtoto wa staa wa Filamu Tanzania Kajala Masanja ‘K’.“Hey everyone….jamani mimi sina shida na mtu kama akinichukia au akinisema mimi kwa kitu chochote kile…kwasababu najua binadamu kuongea mmezoea..ila katika kuongea kwenu,kuingilia na kujudge my life naomba msimuingize mtoto wangu…sijawahi kumuomba mtu anisaidie kulea hata siku moja…mimi nimeona kuna video insambaa mnasema ni mwanangu na mnajua kabisa sie paula huyo ila ilimradi tu mfurahishe roho zenu…nilinyamaza…ila sasa naona mnakoelekea ni pabaya..mnahisi yeye hana moyo? Au mnahisi haumii?.mwanangu anasoma na sitaki mumchanganye na mambo yenu ya kipuuzi…vitu vibaya mnavyo muombea mwanangu viwarudie wenyewe…leave my daughter alone jamani…give us a break..fanyani tu mambo yenu yatakayofanya mpate faida katika maisha”, ameandika Kajala.


Post a Comment