Chuchu ajifungua kidume Hosptali ya Taifa ya Muhimbili
STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans, hatimaye amejifungua mtoto
wa kiume katika Hosptali ya Taifa ya Muhimbili,
akiwa mwanamke wa kwanza kumpatia muigizaji mkubwa kiume Vincet Kigosi ‘Ray’, mtoto.
Akizungumza
na 2jiachie.com, ndugu wa karibu na mastaa hao alithibitisha kujifungua kwa
Chuchu na kusema kuwa ujio wa mtoto huyo ambaye wamempa jina la kwanza la Vincent
Junior, kuwa ameleta furaha kubwa kwa
Ray.
“Yaani Ray,
alikuwa Zanzibar kwa ajili ya kungalia mpira lakini alipopata habari hiyo
alionekana mwenye furaha sana huku baadhi ya mastaa wenzake wakimpongeza,”
alisema ndugu huyo.
Post a Comment