GIGY Money 'Nawashauri Wadada Wasivae Nguo ya Ndani Kama Mimi'
Baada ya video queen, Gigy Money kusemwa katika mitandao ya kijamii
kwamba havai nguo ya ndani, mrembo huyo amesema ni kweli havai na ni
maisha anayopenda kuishi.

Akiongea na Bongo5 Jumamosi hii, Gigy Money amesema anajisikia vizuri akivaa nguo bila kufuli kwani anajiona yupo huru zaidi. “Hata hapa nilipo sijavaa ch**i na nikweli sipendi kuvaa ch**i ila napenda kuvaa ch**i yenyewe bila kuvaa nguo juu yake,” alisema Gigy Money.
“Ch*pi nayo ni nguo na ni vazi la ndani, nivae ch*i nisivae hayo
hayawahusu, hapa nilipo sijavaa c**i kwanza c**i inaharibu shepu, kama
hii nguo niliyovaa leo nikivaa na c**i si naharibu nguo yangu, vitu
ninatakiwa kuonekana. Tena ningewashauri wadada wenzangu wabane matumizi
kwa sababu ch**i zinapanda bei kila kukicha,” aliongeza.
Katika hatua nyingine Gigy amesema kwa wasanii wachanga ndio watu ambao wanamtafuta zaidi ili ashiriki kwenye video zao.

Post a Comment