EUROPA CUP; SAMATTA AMEPELEKWA ROMANIA, MOURINHO NA MAN UNITED WAPANGIWA UFARANSA
Kikosi cha KRC Genk kimepangiwa kucheza dhidi ya Astra Giurgiu katika mechi ya hatua ya mtoano ya Europa Cup.
Genk
kutoka Ubelgiji anayoichezea Mtazania Mbwana Samatta, ni kati ya timu
zilizofuzu katika hatua ya 32 bora ya ligi hiyo ya Ulaya.
Manchester United ambayo ni kubwa zaidi ya timu nyingine katika ligi hiyo, imepangiwa kucheza na Saint Etienne ya Ufaransa.
MECHI:
Astra Giurgiu vs Genk
Celta Vigo vs Shakhtar Donetsk
Ludogorets vs Copenhagen
Villarreal vs Roma
Manchester United vs Saint-Etienne
Anderlecht vs Zenit
Legia Warsaw vs Ajax
Athletic Bilbao vs Apoel
Post a Comment