Video: Maalim Seif ana ugomvi na Prof. Lipumba?
Kiongozi wa C.U.F Maalim Seif amekaa mbele ya Wanahabari November 27
2016 Dar es salaam na kuongelea mambo mbalimbali, miongoni mwa maswali
aliyoulizwa ni kama yeye na aliyekua Mwenyekiti wa chama hicho Profesa
Lipumba wana ugomvi?
Post a Comment