SWANSEA 5-4 CRYSTAL PALACE, ALAN PARDEW BADO KIDOGO ATIMULIWE
Unaweza kusema mambo si mazuri kwa Kocha Alan Perdew baada ya Crystal Palace kuchapwa mabao 5-4 dhidi ya Swansea.
Ilikuwa
mechi tamu na mwisho imeisha kwa mabao 9 kupatikana katika mchezo mmoja
huku kocha huyo akiingia kwenye mstari wa hatari.
Swansea (4-3-3): Fabianski 6.5;
Naughton 6, Fernandez 5, Amat 6, Taylor 5.5; Cork 6.5, Fulton 6.5, Fer
7; Barrow 7, Sigurdsson 8, Routledge 5.5 (Llorente 66, 7).
Subs not used: Van der Hoorn, Dyer, Nordfeldt, Montero, Rangel, McBurnie.
Booked: Cork, Naughton, Routledge
Crystal Palace (4-4-2): Hennessey
5.5; Ward 6, Dann 6, Tomkins 7, Kelly 5.5 (Fryers 73, 6); Zaha 7.5,
Cabaye 6, McArthur 6 (Sako 82), Puncheon 6.5; C Benteke 6, Wickham 6
(Townsend 52, 5.5).
Subs not used: Speroni, Campbell, Ledley, Delaney.
Booked: Townsend, Hennessey, Kelly, Puncheon
Referee: Kevin Friend 6








Post a Comment