Rastaman achukua mikoba ya Gardiner G Habash kwa Lady Jaydee
Wakiwa katika mazungumzo matamatam katika Hoteli ya Serena visiwani Zanzibar.
STAA
wa Bongo Fleva, Lady Jaydee 'Anaconda' amenaswa akijiachia na Rastaman
huyo sehemu mbalimbali wakiwa pamoja tokea aachane na aliyekuwa mume
wake mtangazaji wa kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Gardiner G Habash.




Post a Comment