Nape Amtembelea Na Kumjulia Hali Mkuu Wa Mkoa Wa Tanga

Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akimjulia
hali Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martin Shigela aliyelazwa katika wodi ya
Sewahaji Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam.
Kwa taarifa zilizopo hali ya Mhe. Shigela inaendelea vizuri.
Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WHUSM
Post a Comment