Yanga Yamwangukia Kocha Hans van Pluijm Kujiuzulu, Yamuomba Arejee Klabuni
DAR
ES SALAA: Uongozi wa Klabu ya Yanga, umelezimika kumuangukia aliyekuwa
kocha wake, Hans van der Pluijm na hii ni barua ambayo uongozi wa klabu
hiyo umemuandikia kukataa ombi lake la kutaka kuachia ngazi.
Pluijm aliandika barua
kujizulu Oktoba 22, 2016 baada ya Yanga kuamua kufanya mazungumzo na
Kocha George Lwandamina raia wa Zambia.
Post a Comment