Haijalishi Mtandao Wako Uko Vipi…TECNO Phantom 6 Plus Inatereza Tu
Ukiachilia
mbali Tecno Phantom 6 Plus kuwa simu iliyotengenezwa na betri inayodumu
kwa muda mrefu zaidi, nikufahamishe kwamba simu hiyo pia ina uwezo
mkubwa kwa upande wa intaneti.
Tecno Phantom 6 Plus ina kasi ya hatari unapoitumia kupata mambo mbalimbali au kutazama video mtandaoni.
Tecno Phantom 6 Plus ina kasi ya hatari unapoitumia kupata mambo mbalimbali au kutazama video mtandaoni.
Sasa
ukiunganisha hili la spidi na uwezo wa kukaa na chaji kwa muda mrefu
(Ikiwemo kuchaji kwa haraka) inakuwezesha kuitumia kwa muda wote bila
mushkeri wala wasiwasi wa aina yoyote wa kuzimikiwa au kutoweza
kuangalia video zako kwa wakati.
Picha
hii inaonesha ni kwa jinsi gani Tecno Phantom 6/+ ilivyo na uwezo wa
kuchaji betri kwa haraka ndani ya muda mfupi ikitumia USD Type C
Angalia
uchambuzi mfupi kuhusu spidi ya Tecno Phantom 6 Plus kwenye upande wa
intaneti na tupe maoni yako kwenye kisanduku cha ujumbe.
Unaweza kutembelea kurasa za mitandao ya kijamii ya Tecno kufahamu zaidi kuhusiana na Tecno Phantom 6 na Phantom 6 Plus.
Twitter: https://twitter.com/TECNOMobileTZ
Post a Comment