Tukio zima la Miss Tanzania 2016, lilofanyika Mwanza kwa Mara ya Kwanza
Leo kwa mara nyingine tena Tanzania imeingia kwenye Headline ya kumpata Miss Tanzania 2016
baada ya miaka miwili kupita bila kufanyika shindano la Miss Tanzania,
Shindano la Miss Tanzania limefanyika Mwanza kwa mara ya kwanza na
mrembo kutokea Kinondoni Dar es salaam Diana Edward Lukumai amekuwa mshindi kwa kati ya warembo 30, millardayo.com inakupata picha za tukio zima na Ayo Tv itakusogezea tukio zima.
Wa pili kushoto Lilian Kamazima, Miss Tanzania 2014
Christian Bella, akitoa Burudani
Host wa shinadno la Miss Tanzania 2016, Jokati Mwegelo
Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu
Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward Lukumai
Zawadi ya Miss Tanzania 2106
Post a Comment