Mwanamke Mdogo Mwenye Ndevu Ndefu Zaidi Duniani
Miss. Kaur ana tatizo la mfumo wa ovari (polycystic ovary syndrome) zinazotengeneza
hormoni za uzazi na kusapoti mabadiliko ya ukuaji wa mwanamke, ambapo
tatizo hilo humfanya mwanamke aote nywele ndefu za ziada sehemu
mbalimbali za mwili ikiwemo ndevu kama anavyoota mwanamme.

Post a Comment