ad

ad

RAYON MABINGWA WA KOMBE LA AMANI, WAITWANGA APR 1-0 AMAHORO



Rayon Sports imeendeleza babe katika soka nchini Rwanda baada ya kuichapa APR kwa bao 1-0 katika mechi ya fainali ya Kombe la Amani, leo.

Katika mechi hiyo kwenye Uwanja wa Amahoro jijini Kigali, mechi ilitawaliwa na ubabe kuanzia mwanzo.


Rayon walipata bao katika dakika 3 za mwisho za nyongeza na Diarra ndiye aliyewazamisha baada ya kupiga, mabeki wakaokoa na yeye kuuwahi na kumalizia huku wengi wakiamini mechi ingeenda dakika 30 za nyongeza.

No comments

Powered by Blogger.