Olik atajwa mtayarishaji video bora Kenya
Mtayarishaji
wa video za muziki nchini Kenya, Enos Olik, ametajwa kuwa ni bora
katika kutayarisha video za wasanii mbalimbali ndani na nje ya Kenya.
Enos Olik
Katika
watayarishaji watano bora Kenya, Young Wallace, J Blessing, Thomas
Mboss, Sammy Dee, Olik ametajwa kuwa ni bora zaidi katika kutengeneza
video za kisasa.
Hata hivyo inadaiwa gharama zake zimekuwa juu tofauti na wengine kutokana na ubora wa kazi zake.
Olik ameshafanya video za wasanii mbalimbali kama Nishike, Sura Yako, Still The One na Nerea za Sauti Sol, Kioo (Jaguar), Ivo Ivo (Octopizzo), Come Over (Vanessa Mdee), Pamoja (P-Unit) na wasanii wengine wengi.

Post a Comment