MAKOCHA WAPYA WA KIGENI TANZANIA BARA, CAF KUKAGUA VYETI VYAO
![]() |
| HANS VAN DER PLUIJM, KOCHA RAIA WA UHOLANZI ALIYEIBEBESHA YANGA KOMBE LA LIGI KUU BARA NA KOMBE LA SHIRIKISHO MSIMU WA 2015-16. |
Makocha wa kigeni watakaotaka kufundisha Ligi Kuu Bara, watakaguliwa na watalaamu wa Shirikisho la Soka Afrika (Caf).
Uamuzi
huo umepitishwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambalo
limesisitiza kuwa kwa makocha wakuu wa Ligi Kuu Bara ni lazima kuwa na
Leseni A.
“Kwa
kuwa makocha wa nyumbani watatakiwa kuwa na Leseni A, basi wale wa nje
vyeti vyao vitatumwa Caf ambao watadhibitisha au kukataa.
“Hivyo
kama timu inataka kuajiri kocha wa kigeni, lazima atume vitu vyake ili
tuvitume Caf kwa ajili ya uthibitisho,” alisema Rais wa TFF, Jamal
Malinzi.
Msimu ujao ndiyo utakuwa wa kwanza, kila kocha mkuu kulazimika kuwa na Leseni

Post a Comment