Kikosi cha wenyeji wa michuano ya Euro, Ufaransa kimetinga robo fainali baada ya kuitwanga Ireland Kaskazini kwa mabao 2-1.
Ireland ambao walitangulia kufunga bao
mapema kabisa, walishindwa kuvumilia mziki wa wenyeji ambao walifunga
mabao yote mawili kupitia Antoine Griezman.
Post a Comment