TFF YAMFUNGULIA MASHIKATA JERRY MURO, SHAURI LITASIKILIWA KESHOKUTWA JUMAMOSI
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemfungulia mashitaka Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro.
TFF
imeandika barua kumtaka Muro ahudhurie kikao cha kamati ya maadili ili
kujitetea na kimepangwa kufanyika keshokutwa Jumamosi.
Muro anatuhumiwa kuishambulia TFF kwenye vyombo vya habari ingewa haijaelewa ni wapi na lini.

Post a Comment