EVERTON WAOMBA KUFANYA MAREKEBISHO WA UWANJA WAO WA GOODISON PARK
Klabu ya Everton imeamua kufanya marekebisho kuuboresha uwanja wake wa Goodison Park kabla ya msimu ujao wa Ligi Kuu England.
Everton
maarufu kama The Toffees tayari wameandika barua kwenda Manispaa ya mii
wa Liverpool kuomba kufanya marekebisho ili uwanja huo uwe bora zaidi
na kufikia kuchukua hadi watu 40,221.
Taarifa zimeeleza michoro kwa ajili ya marekebisho na kila kitu imeishakamilika.



Post a Comment