BARCELONA NAYO YAONGEZA POINTI TATU, YAICHAPA 2-0 REAL BETIS
La Liga inazidi kuwa ngumu baada ya Barcelona kuitwanga Real Sociedad kwa mabao 2-0.
Mabao
mawili ya Barcelona yamefungwa na Ivan Raktic na mkali wa kutikisa
nyavu, Luis Suarez ambaye alipokea pasi murua ya Lionel Messi.
Licha ya ushindi wa Real Madrid na Atletico Madrid, Barcelona inaendelea kukaa kileleni baada ya kushinda bao hizo mbili.
Post a Comment