WAKATI MWINGINE MASHABIKI NI WAKATILI SANA, ANGALIA HII YA VAN GAAL NA MOURINHO
Si unajua Jose Mourinho ni mwanafunzi wa Louis van Gaal? Sasa mashabiki hawamtaki mwalimu wanamtaka mwanafunzi.
Hawa
ni mashabiki wa Manchester United. Pamoja na kujua kocha huyo ana mechi
ngumu leo dhidi ya Manchester City, lakini wao hawajali wala
wahamsapoti, badala yake wanataka aondoke. Mashabiki bana, wakati
mwingine hawako fair!

Post a Comment