Pichaz kutoka kwenye uzinduzi wa Miss Tanzania Dar…
March 19 , shindano la miss Tanzania lilizinduliwa Jijini Dar es salaam katika Hotel ya Ramada Resort na kuhudhuriwa na Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na michezo Nape Nnauye na kufanyika bonge la show kutoka msanii Linah. 

Linah na Watu wake wa nguvu
Liliani Deus (Miss Tanzania 2014/15)
(Kushoto) ni mshiriki wa Miss Tanzania miaka iliyopita (Faudhia Fyeka)
(Washiriki wa Miss Tanzania pamoja na mshindi Lilian 2014/2015
Waandaaji wa shindano la Miss Tanzania
Linah na warembo wa nguvu
Warembo katika pozi
Warembo katika pozi
Warembo katika pozi
Warembo katika pozi
CREDIT: MILLARD AYO.COM

Post a Comment