ad

ad

Mapokezi ya Lulu, kuanzia Airport hadi Escape One Mikocheni

Baada ya kuwasili kwa Single Mtambalike na tuzo yake ya filamu bora ya Kiswahili kutokea Lagos Nigeria, March 8 ilikuwa ni zamu ya Elizabeth Michael ‘Lulu’ nyumbani na tuzo yake ya filamu bora ya Afrika Mashariki, mtu wangu wa nguvu nimekusogezea Pichaz 20 za watanzania walivyojitokeza kuipokea tuzo hiyo ya Africa Magic Viewer’s Choice Awards2016.
3X6A7296
Lulu akiwasili Airport Dar
3X6A7325
Baba na mama mzazi wa Lulu walikuwepo kumpokea mtoto wao
3X6A7385
Waandishi nao hawakuwa nyuma kunasa sauti ya Lulu akizungumza kwa furaha ya ushindi
3X6A7393
3X6A7398
3X6A7440
Shangwe zikahamia barabarani sasa kuelekea Escape One
3X6A7441
3X6A7476
Baba yake Lulu na wadogo zake kwenye gari
3X6A7502
Baada ya kufika Escape One Lulu alipanda juu ya gari na kuanza kucheza
3X6A7506
3X6A7512
3X6A7528
Pichaz zikaendelea na mashabiki wake
3X6A7554
Akiongea na waandishi wa habari akiwa na baba na mama yake Wema Sepetu akionekana kwa mbali
3X6A7565
3X6A7578
\ 3X6A7583
3X6A7600
3X6A7612
3X6A7629
A
Wema Sepetu alikuwepo kumpokea Lulu na kumvisha taji

PICHA: MILLARDAYO.COM

No comments

Powered by Blogger.