Ajali Mbaya Imetokea Asubuhi Hii Tabata Matumbi, Dar
Hali halisi eneo la tukio.


Maofisa wa Polisi wakiwa eneo la tukio.
Hali ilivyokuwa eneo la tukio baada ya ajali hiyo.


Taswira halisi ya ajali hiyo.
Ajali mbaya imetokea mapema leo asubuhi
eneo la Tabata Matumbi- Dar es Salaam ikihusisha magari matatu, daladala
(DCM) iliyokuwa na abiria lifanyalo safari zake Gongo la Mboto na
Simu2000, Lori lililobeba mchanga na Lori lililokuwa limebeba N’ombe
likielekea Vingunguti
Watu ambao idadi yao bado haijafahamika maramoja wanasadikiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali hiyo.
Taarifa zaidi tutaendelea kuwajuza kadri tutakavyozipata.

Post a Comment