Sultan Idriss Awaomba Radhi Mashabiki Kwa Niaba ya Wema Sepetu Baada ya Wema Kukacha Kutokea Club Billz Jana
Usiku wa Jana Mrembo Wema Sepetu Alitakiwa Kuwepo Club Billz kujumuika
na mashabiki wake lakini hakuweza tokea, Japo Club ilifurika mbaya baada
ya taarifa kuwa Wema Atakuwepo...Idriss Sultan Asubuhi hii Ameandika
Haya Kwenye Ukurasa wake wa Instagram

Idrissultan
"Asanteni sana for all the major love and support mmeonyesha Billz ilikua ni mmetisha sanaa.
I apologize kwa niaba ya wa ubavu wangu kutokufika mnilaumu mimi si mnajua tena tarehe 14 niliamka na usongo ila anapumua bado "
Post a Comment