Shamsa kuifufua bongo muvi
STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford.
Akisto risha na paparazi wetu, Shamsa alisema ili kufanikisha suala hilo anafanya kazi kwa nguvu zote kwani sanaa hiyo imepotea na wala haitikisi kwenye akili za watu kama ilivyokuwa kabla ya kampeni za uchaguzi mkuu uliopita.
“Yaani niko bize sana mimi na wenzangu kuhakikisha tunairejesha tena
Bongo Muvi katika ubora wake maana kwa jinsi ilivyo ni kama iliyokufa,” alisema Shamsa.
Post a Comment