ad

ad

Breaking News: Samatta Mchezaji bora anayechea soka barani Afrika


Mshambuliaji Mbwana Aly Samatta wa Tanzania na klabu ya TP Mazembe ameshinda Tuzo ya Mchezaji bora anayechea soka barani Afrika na kuwamwaga Baghdad Boundjah (Algeria/: Etoile du Sahel) na Robert Kidiaba (DR Congo/ TP Mazembe) Usiku huu mjini Abuja, Nigeria.
12519253_440019409526035_1428626299_n Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta (kushoto) akiwa mshambuliajinwa Gabon, Pierre-Emerick Emiliano François Aubameyang katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa mjini Abuja, Nigeria usiku huu wakati hafla ya Tuzo za Wachezaji Bora wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) mwaka 2015.

No comments

Powered by Blogger.