Wema na Jokate Walivyopokelewa Stejini na King Kiba
Mkali wa Bongo Fleva, Ali Kiba juzi pande za Escape One, Mikocheni alifanya shoo ya kuwaaga mashabiki wake kwa mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka Mpya 2016 ambapo aliitambulisha rasmi bendi yake mpya iitwayo 4RealDancers.
Shangwe kubwa lilisikika pale ambapo King Kiba alipowa ‘surprise’ mashabiki wake kwakuwapandisha stejini mastaa warembo, Wema Sepetu na Jokate ‘Kidoti’ kama unavyoona kwenye picha hapo chini.
Post a Comment